MAJALIWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA KILIMANJARO MARATHON - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Sunday, February 27, 2022

MAJALIWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA KILIMANJARO MARATHON

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga king'ora kuanzisha Mbio za Kilomita 42 katika maadhimisho ya miaka 20 ya Kilimanjaro Marathon kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi, Februari 27, 2022. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ambao ndiyo wadhimini wakuu wa maadhimisho hayo, Jose D Moran. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriiki katika mbio za Kilimanjaro Marathon baada ya kuzianzisha kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi, Februari 27, 2022. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages