RAIS MWINYI AMEMUAPISHA KAMISHNA MKUU MAMLAKA YA KUDHIBITI NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA ZANZIBAR - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, February 25, 2022

RAIS MWINYI AMEMUAPISHA KAMISHNA MKUU MAMLAKA YA KUDHIBITI NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa Ikulu wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya kuaza kwa hafla ya kuapishwa kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar, (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Kanali Burhan Zuberi Nassor kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya kiapo baada ya kumaliza kumuapisha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar Kanali Burhan Zuberi Nassor, hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Viongozi wa Serikali Viongozi wa Dini Zanzibar wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar, Kali Burhan Zuberi Nassor, akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Alki Mwinyi (hayupo pichani) hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar Picha na Ikulu.

1 comment:

  1. Casino Poker | Play Real Money Casino Games
    A classic game of poker. 카드 카운팅 Play the classic game w88 com login of 카지노가입머니 poker online at Casino Poker, the only place to play poker online. No download, 온라인 포커 no registration 카지노 사이트 required.

    ReplyDelete

Sharing Buttons

Pages