Rais Samia Suluhu Hassan Akutana Na Kuzungumza Na Makamu Wa Rais Ambaye Pia Ni Waziri Mkuu Umoja Wa Falme Za Kiarabu UAE Na Mtawala Wa Dubai Sheikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Dubai UAE - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Saturday, February 26, 2022

Rais Samia Suluhu Hassan Akutana Na Kuzungumza Na Makamu Wa Rais Ambaye Pia Ni Waziri Mkuu Umoja Wa Falme Za Kiarabu UAE Na Mtawala Wa Dubai Sheikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Dubai UAE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE na Mtawala wa Dubai Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum mara baada ya kuhutubia katika Maonesho ya Dubai Expo 2020 yanayoendelea katika Mji wa Dubai leo tarehe 26 Februari, 2022. PICHA IKULU

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages