SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS MIGOMBANI ZANZIBAR - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Monday, February 21, 2022

SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS MIGOMBANI ZANZIBAR

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.Tulia Ackson akizungumza na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othaman katika ofisi za Makamu wa Rais Migombani Zanzibar, Februari 21, 2022.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.Tulia Ackson akiagana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othaman katika ofisi za Makamu wa Rais Migombani Zanzibar, Februari 21, 2022. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.Tulia Ackson akiteta jambo na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othaman katika ofisi za Makamu wa Rais Migombani Zanzibar, Februari 21, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.Tulia Ackson katika picha ya pamoja na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman katika ofisi za Makamu wa Rais Migombani Zanzibar, Februari 21, 2022

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages