WADAU WA MAZINGIRA WAKUTANA DAR - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, February 18, 2022

WADAU WA MAZINGIRA WAKUTANA DAR

.com/img/a/
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo, akizungumza wakati wa akifungua rasmi mkutano wa kujenga uelewa kuhusu taarifa za Hali ya Hewa, fursa na changamoto za mabadiliko ya hali ya hewa kwa wadau wa mazingira. Mkutano huo umefanyika leo Februari 18, 2022 jijini Dar es Salaam.
.com/img/a/
Mkurugenzi wa Tathimini ya Athari kwa Mazingira (NEMC), Lilian Lukambuzi, akitoa hotuba yake wakati wa 
mkutano wa kujenga uelewa kuhusu taarifa za Hali ya Hewa, fursa na changamoto za mabadiliko ya hali ya hewa kwa wadau wa mazingira.
.com/img/a/
Baadhi ya wadau wa mazingira wakiwa katika mkutano huo.
.com/img/a/

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi, akizungumza katika mkutano wa kujenga uelewa kuhusu taarifa za Hali ya Hewa, fursa na changamoto za mabadiliko ya hali ya hewa kwa wadau wa mazingira.
.com/img/a/
Mwakilishi kutoka Chama cha  Wataalam wa Mazingira, (TEEA), akizungumza katika mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages