RAIS SAMIA AMTEUA ACI.HASSAN ALI HASSAN KUWA KAMSHNA WA UHAMIAJI ZANZIBAR - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Tuesday, March 29, 2022

RAIS SAMIA AMTEUA ACI.HASSAN ALI HASSAN KUWA KAMSHNA WA UHAMIAJI ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua ACI. Hassan Ali Hassan, kuwa Kamishna wa Uhamiaji, Zanzibar. Kabla ya uteuzi huo ACI. Hassan alikuwa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Pemba.

ACI. Hassan anachukua nafasi ya Kamishna Johari Masoud Sururu ambaye atapangiwa majukumu mengine. Uteuzi huu unaanza mara moja.


No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages