BENKI YA CRDB YATOA SWADAKA KWA AJILI YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI KWA WABUNGE - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Wednesday, April 20, 2022

BENKI YA CRDB YATOA SWADAKA KWA AJILI YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI KWA WABUNGE

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akipokea zawadi kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Waheshimiwa Wabunge kutoka kwa Afisa Mkuu wa Uendeshaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akipokea zawadi mbalimbali ikiwemo miswala, tasbihi, chetezo, vikombe, tende na udi kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa waheshimiwa Wabunge kutoka kwa Afisa Mkuu wa Uendeshaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa Benki ya CRDB mara baada ya Benki hiyo kumkabidhi zawadi mbalimbali ikiwemo miswala, tasbihi, chetezo, vikombe, tende na udi kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa waheshimiwa Wabunge. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages