MBUNGE WA AMANI ATOA SADAKA YA EID EL FITRI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Monday, April 25, 2022

MBUNGE WA AMANI ATOA SADAKA YA EID EL FITRI

MBUNGE wa Jimbo la Amani, Mhe Mussa Hassan Mussa akitoa Sadaka ya Sikukuu ya Eid El Fitri kwa watu wa makundi mbalimbali katika jimbo hilo ambapo zaidi ya watu 500 wenye uhitaji maalum watafikiwa na sadaka hiyo, hafla hiyo ilifanyika katika ofisi ya jimbo la Amani. akimkabidhi Bi, Mwanaasha Abdallah wa Shehia ya kwa Wazee.
MBUNGE wa Jimbo la Amani, Mussa Hassan Mussa akitoa Sadaka ya Sikukuu ya Eid El Fitri kwa watu wa makundi mbalimbali katika jimbo hilo ambapo zaidi ya watu 500 wenye uhitaji maalum watafikiwa na sadaka hiyo, hafla hiyo ilifanyika katika ofisi ya jimbo la Amani. Bw. Hassan Ali Muombwa wa Shehia ya kwa Wazee.
MBUNGE wa Jimbo la Amani, Mussa Hassan Mussa akitoa Sadaka ya Sikukuu ya Eid El Fitri kwa watu wa makundi mbalimbali katika jimbo hilo ambapo zaidi ya watu 500 wenye uhitaji maalum watafikiwa na sadaka hiyo, hafla hiyo ilifanyika katika ofisi ya jimbo la Amani. Bw.Ali Makame Haji wa Shehia ya kwa Wazee.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages