MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) TAIFA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI UCHAGUZI WA SHINA NAMBA 1 LA CCM CHAMWINO IKULU JIJINI DODOMA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Saturday, April 30, 2022

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) TAIFA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI UCHAGUZI WA SHINA NAMBA 1 LA CCM CHAMWINO IKULU JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitumbukiza karatasi ya Kura kwenye boksi kuwachagua Wajumbe wa Shina namba 1 la Chama hicho Chamwino Ikulu Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo kabla ya kumpigia kura Mwenyekiti na Wajumbe wa Shina namba 1 la Chama hicho Chamwino Ikulu Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanachama wa CCM mara baada ya kupiga kura kumchagua Mwenyekiti pamoja na Wajumbe wa Shina namba 1 la Chama hicho Chamwino Ikulu Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti na Wajumbe wapya wa Shina namba 1 la Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino Ikulu waliochaguliwa tarehe 30 Aprili, 2022 Jijini Dodoma. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages