Rais Samia Akiwa Jijini New York Nchini Marekani - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Sunday, April 17, 2022

Rais Samia Akiwa Jijini New York Nchini Marekani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mhe. Amina J. Mohamed Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jijini New York Nchini Marekani leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Amina J. Mohamed Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa baada ya mazungumzo yao Jijini New York Nchini Marekani leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mhe. Joyce Msuya Msaidizi wa Katibu wa Masuala ya Kibina Adamu na Naibu Mratibu wa Misaada ya Dharura katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoratibu Masuala ya kibinaadamu, Jijini New York Nchini Marekani leo.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages