RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEJUMUIKA NA WANANCHI WA MASJID KHEIR MARKAZ MOMBASA UNGUJA KATIKA SALA YA IJUMAA JANA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Saturday, April 9, 2022

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEJUMUIKA NA WANANCHI WA MASJID KHEIR MARKAZ MOMBASA UNGUJA KATIKA SALA YA IJUMAA JANA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid Kheir Markaz Mombasa Unguja Jijini Zanzibar baada ya kuwasili katika viwanja vya Masjid hiyo kuhudhuria ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika jana 8-4-2022 Masjid hiyo.
WAUMINI wa Masjid Kheir Markaz Mombasa Unguja Jijini Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini na Wananchi wa Masjid Kheir Markaz Mombasa Unguja Jijini Zanzibar baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo jana 8-4-2022. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages