BENKI YA NBC IMEANDAA CHAKULA CHA JIONI KWAAJILI YA WATEJA WAKE, WAJADILI MATARAJIO YA SIKU ZIJAZO - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Monday, May 30, 2022

BENKI YA NBC IMEANDAA CHAKULA CHA JIONI KWAAJILI YA WATEJA WAKE, WAJADILI MATARAJIO YA SIKU ZIJAZO

Wateja wa Benki ya NBC wakisalimiana wakati wa chakula cha Jioni kilichoandaliwa na benki yao jijini Dar es Salaam Mwishoni mwa wiki.
Wateja wa Beki ya NBC wakiurahia vinywaji wakati benki yao walipoandaa chakula cha jioni kwaajili ya kuzungumza nao juu ya matarajio ya benki hiyo kwa siku zijazo.
BENKI ya NBC yaandaa Chakula cha Jioni kwaajili ya wateja wake katika hoteli ya Hyatt Regancy the Kilimanjaro jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kwajili ya kujadili matarajio ya siku zijazo.

Katika Chakula hicho cha jioni kuliundwa jukwaa la benki hiyo kwaaajili ya Kubadilishana mawazo na kujadiliana na wateja wake changamoto zinazowakabili.

Hata hivyo waliangalia malengo yajayo benki hiyo baada ya kudorora kwa biashara kwa miaka miwili kutokana na janga la Covid-19.

Mkurugenzi Mkuu wa NBC Tanzania, Theobald Sabi akiongozana na Mtendaji Mkuu wa Uendeshaji wa ABSA Kanda iliwakaribisha watendaji wakuu wa biashara kutoka viwanda 50 nchini kwa lengo la kufungua fursa za biashara katika soko la Afrika.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages