RAIS SAMIA AMTEUA HASSAN OMAR KITENGE KUWA KATIBU WA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, May 6, 2022

RAIS SAMIA AMTEUA HASSAN OMAR KITENGE KUWA KATIBU WA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bwana Hassan Omani Kitenge kuwa Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages