RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AHUTUBIA SHEREHE ZA JUBILIE YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA MUHASHAMU ASKOFU AGUSTINO SHAO UWANJA WA AMAAN UNGUJA LEO - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Tuesday, May 10, 2022

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AHUTUBIA SHEREHE ZA JUBILIE YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA MUHASHAMU ASKOFU AGUSTINO SHAO UWANJA WA AMAAN UNGUJA LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Askofu wa Jimbo Katoliki Zanzibar Mhashamu Askofu Agustino Shao, alipowasili katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar, kuhudhuria Sherehe ya Jubilei ya miaka 25 ya Uaskofu wa Mhashamu Agustino Mweleli Shao Askofu, iliyofanyika katika uwanja huo leo 10-5-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika jukwaa maalumu lililoandaliwa kwa ajili ya Sherehe ya Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Mhashamu Agustino Mweleli Shao, iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar leo 10-5-2022 na (kulia kwa Rais) Askofu Mhashamu Agustino Shao.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Maaskofu baada ya kuwasili katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar kuhudhuria Jubilei ya Miaka 25 ya Mhashamu Askofu Agustino Mweleli Shao (kulia kwa Rais) iliyofanyika katika uwanja huo leo 10-5-2022.
WANAKWAYA wa Kanisa Katoliki Zanzibar wakiimba nyimbo maalumu wakati wa sherehe ya Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Muhashamu Askofu Agustino Mweleli Shao, iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar.
WANAKWAYA wa Kanisa Katoliki Zanzibar wakiimba nyimbo maalumu wakati wa sherehe ya Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Muhashamu Askofu Agustino Mweleli Shao, iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar.
WANAKWAYA wa Kanisa Katoliki Zanzibar wakiimba nyimbo maalumu wakati wa sherehe ya Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Muhashamu Askofu Agustino Mweleli Shao, iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar.
MWAKILISHI wa Baba Mtakatifu kutoka Vatican Richard Gyhra akitowa salumu wakati wa sherehe za Jubilie ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Mhashamu Askofu Agustino Mweleli Shao wa Jimbo Katoliki Zanzibar, iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar.
NAIBU Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi akizungumza na kutowa Salamu za Mufti Mkuu wa Zanzibar, wakati wa hafla ya sherehe ya Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Mhashamu Askofu Agustino Mweleli Shao, iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar.
ASKOFU Mhashamu Agustino Mweleli Shao akizungumza katika sherehe za Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wake Jimbo Katoliki la Zanzibar,kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuhutubia katika sherehe hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar leo 10-5-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya sherehe ya Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Muhashamu Agustino Mweleli Shao wa Jimbo Katoliki Zanzibar, iliyofanyika leo 10-5-2022, katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya sherehe ya Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Muhashamu Agustino Mweleli Shao wa Jimbo Katoliki Zanzibar, iliyofanyika leo 10-5-2022, katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar.
MAASKOFU wa Madhehebu Dini tafauti Zanzibar wakifuatilia sherehe za Jubilei ya Miaka 25 ya Askofu Mhashamu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Askofu Agustino Mweleli Shao, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar leo 10-5-2022.
MAASKOFU wa Kanisa Katoliki Tanzania wakifuatilia hutuba ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya sherehe ya Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Mhashamu Agustino Mweleli Shao wa Jimbo Katoliki Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar.
WAUMINI wa Kanisa Katoliki Zanzibar wakimsikiliza mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Jubilei ya Miaka 25 ya Askofu Mhashamo Agustino Mweleli Shao, iliyofanyika katika uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar.
MASISTER wa Kanisa Katoliki Zanzibar wakifuatila hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Sherehe ya Jubilei ya Miaka 25 ya Askofu Mhashamu Askofu Agustino Mweleli Shao, iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar.
MAPADRI wa Kanisa Katoliki Zanzibar wakifuatila hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Sherehe ya Jubilei ya Miaka 25 ya Askofu Mhashamu Askofu Agustino Mweleli Shao, iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Askofu Muhashamu wa Jimbo Katoliki Zanzibar Askofu Agustino Mweleli Shao, wakati wa sherehe za Miaka 25 ya Uaskofu wake Jimbo la Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar leo 10-5-2022.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages