
Kwakutambua mchango na juhudi anazo fanya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama yetu Mpendwa Samia Suluhu Hassan, hasa katika sekta ya Elimu Shule ya wavulana ya Sullivan Provost Boys iliyopo kibaha kwa Mathias imeamua kuungana na Taasisi ya ShuleLife Organization kuanzisha harambee kwaajili ya kuwasaidia wanafunzi wakitanzania walitoka katika mazingira magumu ili kupata mahitaji ya shule Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/DtQrTbbMb7tALz4ZscvVVl hii ni link kwa ajili ya Kampeni yetu ya *NIKUMBUKE* saidia kushare watu wengi zaidi waweze kushiriki Hili ni jambo letu sote kuwasadia watoto ni jukumu nletu.

No comments:
Post a Comment