BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA ATEMBELEA OFISI YA WAZIRI MKUU - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, June 16, 2022

BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA ATEMBELEA OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini, Donald J. Wright alipokutana naye, katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Marekani nchini, Donald J. Wright, wakati alipokutana naye, katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na ujumbe wa Ubalozi Marekani ulioongozwa na Balozi wa nchi hiyo nchini, Donald J. Wright ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na ujumbe wa Ubalozi Marekani ulioongozwa na Balozi wa nchi hiyo nchini, Donald J. Wright ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Balozi wa Marekani nchini, Donald J. Wright baada ya kikao kilichofanyika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages