MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR MHE. HEMED SULEIMAN ABDULLA LEO ASHIRIKI MKUTANO WA SABA WA BARAZA LA KUMI LA WAWAKILISHI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Tuesday, June 14, 2022

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR MHE. HEMED SULEIMAN ABDULLA LEO ASHIRIKI MKUTANO WA SABA WA BARAZA LA KUMI LA WAWAKILISHI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla leo ameshiriki katika Mkutano wa Saba wa Baraza la Kumi la Wawakilishi.

Katika Kikao hicho Mhe. Hemed ambae pia ni Mtendaji Mkuu wa Shughuli za Serikali katika Baraza la Wawakilishi ameshuhudia uwasilishaji wa Hotuba Bajeti Kuu ya Serikali iliyowasilishwa na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Sada Mkuya Salum.
Aidha Mhe. Hemed ameambatana na Mkewe Mama Sharifa Omar Khalfan katika Tafrija fupi iliyoandaliwa baada ya kukamilika kwa Uwasilishaji wa Hotuba hiyo.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages