
Kaimu Meneja wa Uhusiano na Itifaki Benki Kuu ya Tanzania BoT Bi. Vick Msina akitoa elimu ya fedha Kwa wananchi na watoto waliofika kwenye Banda la Benki hiyo kwenye maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa TANTRADE yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Julia 7, 2022.

Restituta Minja Afisa Mkuu Mwandamizi BoT akitoa elimu Kwa wanafunzi waliotembelea Banda Hilo namna na kutambua fedha Halali na fedha bandia.

Wanafunzi hao wakiendelea kuuangalia alama muhimu zilizopo kwenye noti Ili kujua fedha Halali na fedha bandia.

Restituta Minja Afisa Mkuu Mwandamizi BoT akifafanua Zaidi wakati akitoa elimu Kwa wanafunzi waliotembelea Banda Hilo namna na kutambua fedha Halali na fedha bandia.

Baadhi ya wananchi waliotembelea Banda Hilo wakifuatilia na kuangalia Mambo mbalimbali Katika Banda Hilo.

Elirehema Msemembo Mhasibu mkuu Mwandamizi BoT Huduma za Kibenki BoT akitoa elimu Kwa wananchi mbalimbali waliotembelea Banda la benki hiyo leo.

Wananchi wakipitia nachapisho mbalimbali Ili kupata elimu ya fedha Katika Banda Hilo.

Picha mbalimbali zikionesha wananchi wakiwa Katika Banda la BoT Ili kupata elimu na maelezo mbalimbali kuhusu Huduma za Benki hiyo.

Wananchi mbalimbali wakiingia na kutoka Katika Banda la BoT Katika maonesho ya Biashara kwenye viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment