RAIS DK.HUSSEIN MWINYI AMEREJEA NCHINI LEO - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, July 1, 2022

RAIS DK.HUSSEIN MWINYI AMEREJEA NCHINI LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiteremka ndege ya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Maafisa mbali mbali akitokea katika nchi ya Burundi kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mama Samia Suluhu Hassan katika sherehe za maadhimisho ya miaka 6 ya nchi hiyo zilizofanyika mapema hii leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakati wa mapokezi akiwa na teremka ndege ya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea katika nchi ya Burundi kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mama Samia Suluhu Hassan katika sherehe za maadhimisho ya miaka 6 ya nchi hiyo zilizofanyika mapema hii leo.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages