Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi Amefungua Msikiti na Kupewa Jina la Msikiti wa Mzee Ali Hasan Mwinyi Zawiyani Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Sunday, February 23, 2025

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi Amefungua Msikiti na Kupewa Jina la Msikiti wa Mzee Ali Hasan Mwinyi Zawiyani Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuufungua Msikiti Mpya uliojenga na Zakaria na Familia yake katika Kijiji cha Zawiyani Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja na kupewa Jina la Msikiti wa Mzee Ali Hassan Mwinyi, ufunhuzi huo uliyofanyika leo 23-2-2025, baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Marehemu Ali Hassan Mwinyi. Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na (kushoto kwa Rais) Mohamed Zakaria na Naimu Zakaria na (kulia kwa Rais) Nadim Zakaria.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi na kutowa shukrani kwa Familia ya Zakaria wakati wa ufunguzi wa Masikiti uliyojengwa na familia ya Zakaria na kupewa jina la Msikiti wa Mzee Ali Hassan Mwinyi, ufunguzi huo uliyofaika leo 23-2-2025, baada ya kisomo cha hitma na dua kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika Zawiyani Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages