.jpeg)
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesogeza mbele mchezo wa watani wa jadi namba 184 kati ya Yanga na Simba, ambao awali ulipangwa kuchezwa Juni 15, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Kwa sasa, mechi hiyo itapigwa Juni 25, 2025 katika uwanja huo huo kuanzia saa 11:00 jioni aidha kupitia taarifa yake TPLB imezitakia klabu zote mbili maandalizi mema kuelekea pambano hilo linalosubiriwa kwa hamu.
No comments:
Post a Comment