BODI YA BIMA YA BODI YA AMANA YAENDELEA KUELIMISHA WANANCHI KUHUSU MAJUKUMU YAKE - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, July 4, 2025

BODI YA BIMA YA BODI YA AMANA YAENDELEA KUELIMISHA WANANCHI KUHUSU MAJUKUMU YAKE

Beatrice Hyera Afisa Mwandamizi Bodi ya Bima ya Amana akitoa maelezo kwa baadhi ya wananchi waliotembelea katika banda la Bodi ya Bima ya Amana kwenye maonesho ya 49 ya biashara ya kimataifa Sabasaba yanayoandaliwa na TANTRADE na kufanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa jinini Dar es Salaam ili kupata elimu kuhusu shughuli za bodi hiyo.
Wananchi mbalimbali wakiendelea kupata elimu kutoka kwa maofisa taasisi hiyo wakati waliotembelea katika banda la Bodi ya Bima ya Amana kwenye maonesho ya 49 ya biashara ya kimataifa Sabasaba yanayoandaliwa na TANTRADE na kufanyika kaktika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa jinini Dar es Salaam ili kupata elimu kuhusu shughuli za bodi hiyo.
Beatrice Hyera Afisa Mwandamizi Bodi ya Bima ya Amana akitoa maelezo kwa baadhi ya wananchi waliotembelea katika banda la Bodi ya Bima ya Amana kwenye maonesho ya 49 ya biashara ya kimataifa Sabasaba yanayoandaliwa na TANTRADE na kufanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa jinini Dar es Salaam ili kupata elimu kuhusu shughuli za bodi hiyo.
Afisa wa Bodi ya bima ya Amana Caren Max akitoa maelezo kwa baadhi ya wananchi waliotembelea katika banda la Bodi ya Bima ya Amana kwenye maonesho ya 49 ya biashara ya kimataifa Sabasaba yanayoandaliwa na TANTRADE na kufanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa jinini Dar es Salaam ili kupata elimu kuhusu shughuli za bodi Hiyo.
Daudi Mwakalinga Afisa wa Bodi ya Bima ya Amana DIB akitoa maelezo kwa baadhi ya wananchi waliotembelea katika banda la Bodi ya Bima ya Amana kwenye maonesho ya 49 ya biashara ya kimataifa Sabasaba yanayoandaliwa na TANTRADE na kufanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa jinini Dar es Salaam ili kupata elimu kuhusu shughuli za bodi hiyo.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages