RAIS DKT SAMIA ASHIRIKI UFUNGUZI HEMA LA IBADA KANISA LA ARISE AND SHINE KAWE JIJINI DAR ES SALAAM - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Saturday, July 5, 2025

RAIS DKT SAMIA ASHIRIKI UFUNGUZI HEMA LA IBADA KANISA LA ARISE AND SHINE KAWE JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa kama ishara ya kuweka jiwe la msingi na kukata utepe Ufunguzi wa Kanisa la Arise and Shine, Kawe Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mtume Boniface Mwamposa mara baada ya kuwasili katika Ufunguzi Kanisa la Arise and Shine, Kawe Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Waumini wa kanisa la Arise and Shine alipowasili katika hafla ya Ufunguzi wa Kanisa la Arise and Shine, Kawe Jijini Dar es salaam.
Waumini mbalimbali wakati wa Hafla ya Ufunguzi wa Kanisa Arise and Shine ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kawe Jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages