DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI UWANJA WA KESHA KINYEREZI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Wednesday, October 22, 2025

DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI UWANJA WA KESHA KINYEREZI

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye mkutano wa kampeni unaofanyika kwenye uwanja wa Kecha Kinyerezi wilayani Ilala mkoa wa Dar es salaam.

Dkt. Samia anatarajiwa kunadi ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2025/2030 na kuelezea utekelezaji wa ilani iliyopita sambamba na kuomba ridhaa ya Watanzania kumchagua kwa kura nyingi za ndiyo katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ifikapo Oktoba 29, 2025.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages