NSSF YAPOKEA TUZO YA SHUKRANI SHEREHE ZA MEI MOSI 2026 - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Saturday, May 2, 2026

NSSF YAPOKEA TUZO YA SHUKRANI SHEREHE ZA MEI MOSI 2026

Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Bw. Masha Mshomba, akipokea tuzo kutoka kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tuzo hiyo imetolewa kwa NSSF kwa kuwa miongoni mwa wadhamini wa sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) zilizofanyika kitaifa mkoani Njombe.

Aidha, Dkt. Samia alisema: “Serikali imezindua skimu ya hifadhi ya jamii ili kuhakikisha wananchi waliojiajiri wanajumuishwa katika mfumo wa hifadhi ya jamii.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages