Tanga Cement yasaidia ujenzi wa nyumba za polisi zilizoungua mkoani Arusha - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, October 12, 2017

Tanga Cement yasaidia ujenzi wa nyumba za polisi zilizoungua mkoani Arusha




Meneja Usambazaji wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Samuel Shoo, akikabidhi msaada sehemu ya mifuko 1000 ya saruji yenye thamani ya ya shs milioni 12,500,000  kwa Naibu Kamishna wa polisi (DCP) wa Mkoa wa Arusha Charles Mkumbo (kushoto), iliyotolewa kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa majengo ya nyumba za polisi zilizoungua moto hivi karibuni. Hafla ya makabidhiano ilifanyika katika eneo la Kituo Kikubwa cha Polisi Arusha jana. Wengine pichani ni maofisa wa kampuni ya Saruji na kutoka katika majeshi ya ulinzi na usalama.
Mkuu wa Idara ya Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Peet  Brits, akikabidhi msaada sehemu ya mifuko 1000 ya saruji yenye thamani ya ya shs milioni 12,500,000  kwa Naibu Kamishna wa polisi (DCP)  wa Mko wa Arusha  Charles Mkumbo (wa pili kushoto), iliyotolewa kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa majengo ya nyumba za polisi zilizoungua moto hivi karibuni mkoani humo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika katika eneo la Kituo kikubwa cha Polisi Arusha jana. Wengine pichani ni maofisa wa Saruji Tanga na kutoka katika majeshi ya ulinzi na usalama.
Mkuu Mauzo Kitaifa wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Leslie Masawe, akikabidhi msaada sehemu ya mifuko 1000 ya saruji yenye thamani ya ya shs milioni 12,500,000  kwa Naibu Kamishna wa polisi (DCP) wa Mko wa Arusha, Charles Mkumbo, iliyotolewa kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa majengo ya nyumba za polisi zilizoungua moto  tarehe 27septemba Mkoani  humo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika katika eneo la Kituo Kikubwa cha Polisi Arusha jana. Wengine pichani ni maofisa wa Saruji Tanga na kutoka katika majeshi ya ulinzi na usalama.
Meneja Masoko Mkoa wa Arusha  wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Christopher Mgonja, akikabidhi msaada sehemu ya mifuko 1000 ya saruji yenye thamani ya ya shs milioni 12,500,000  kwa Naibu Kamishna wa polisi (DCP) wa Mko wa Arusha  Charles Mkumbo (kushoto), iliyotolewa kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa majengo ya nyumba za polisi zilizoungua moto  tarehe 27septemba Mkoani  humo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika katika eneo la Kituo Kikubwa cha Polisi Arusha jana. Wengine pichani ni maofisa wa Saruji Tanga na kutoka katika majeshi ya ulinzi na usalama.
Ofisa Masoko na Mawasiliano wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Hellen Maleko   wa pili (kulia) akikabidhi msaada sehemu ya mifuko 1000 ya saruji yenye thamani ya ya shs milioni 12,500,000  kwa Naibu Kamishna wa polisi (DCP)  wa Mko wa Arusha  Charles Mkumbo, iliyotolewa kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa majengo ya nyumba za polisi zilizoungua moto  tarehe 27septemba Mkoani  humo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika katika eneo la Kituo Kikubwa cha Polisi Arusha jana. Wengine pichani ni maofisa wa Saruji Tanga na kutoka katika majeshi ya ulinzi na usalama.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages