Tatoo ya Agness Haikuniuma Kama Tatoo Nyingine - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, May 3, 2018

Tatoo ya Agness Haikuniuma Kama Tatoo Nyingine


Mwanadada Irene Uwoya amefunguka na kuelezea kuwa aliamua kuchora tatoo yenye jina la Agness kama kumbukumbu ya rafiki yake huyo kipenzi lakini anasema kuwa katika tatoo zake zote, tatoo hiyo haikumuuma kama tatoo zingine na wala hakupata maumivu yotote.

Irene anasema kuwa aliamua kuchora tatoo hiyo kuonyesha kuwa rafiki yake huyo ataendelea kuishi katika maisha yake kutikana na mapezni ya kweli waliokuwa nayo  kipindi rafiki yake huyo alipokuwa hai.

"Nimechora tatoo ya Masogange lakini sikuhisi maumivu kama niliyowahi kuyapata nachora tatoo nyingine mwilini mwangu , nafkiri tu labda kwa sababu ya uchungu mkubwa niliokuwa nao,na nilchora tatoo hiyo ili kila siku ninapoiangalia ninapata amani ya moyo."

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages