WAZIRI MKUU KUZINDUA MIFUMO YA KIDIJITALI YA OFISI YA UTUMISHI WA UMMA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Sunday, June 23, 2024

demo-image

WAZIRI MKUU KUZINDUA MIFUMO YA KIDIJITALI YA OFISI YA UTUMISHI WA UMMA

Screenshot_20240623-145651-860x475
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 23, 2024 atazindua Mifumo ya Kidijitali ya Uwajibikaji na Usimamizi wa Utendaji Kazi katika Utumishi wa Umma iliyosanifiwa na Kujengwa na Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma.

Mheshimiwa Waziri Mkuu anamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla hiyo inayofanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma.
Screenshot_20240623-145703-1024x551
Screenshot_20240623-145716-1024x539
Screenshot_20240623-145727-1024x558
Screenshot_20240623-145740-1024x545
Screenshot_20240623-145755-1024x538
Screenshot_20240623-145807-1024x553

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *