Bei ya mafuta yashuka, hizi ni bei mpya kwa mikoa yote - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Wednesday, November 6, 2024

demo-image

Bei ya mafuta yashuka, hizi ni bei mpya kwa mikoa yote

IMG-20230802-WA0306-1024x683-1-860x574-1
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia leo Jumatano Novemba 6, 2024 saa 6:01 usiku Mkoa wa Dar es Salaam petrol ni Tsh. 2943 kwa lita, dizeli Tsh. 2844 na mafuta ya taa 2943.
1000020742
1000020754
1000020753

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *