Prof Mkenda: Atoa wito Wahasibu kuandika Vitabu vya Biashara na Hesabu kwa ajili ya Shule - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Sunday, November 10, 2024

demo-image

Prof Mkenda: Atoa wito Wahasibu kuandika Vitabu vya Biashara na Hesabu kwa ajili ya Shule

086954e605cebdc6f4fa42250734360f
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia prof. Adolf Mkenda ametoa wito kwa Bodi ya Waasibu na Wakaguzi wa Heasabu (NBAA) kuanza kuandika vitabu.
2c16d6a385be694ddbebb4719fcdc340
Akizungumza Jijini Dar es Salaam Novemba 10, 2024 baada ya kuhitimisha Matembezi ya Hiari ya kuchangia vitabu vya Sekondari amesema kuwa wahasibu na wakaguzi wa hesabu waandike vitabu vya biashara, Hesabu na _Bookeeping_ na kuvileta kwa Kamishna wa Elimu vipate ithibati na vikiwa na vigezo vitumike shuleni.
540fe4eb6922f68dd4db97c4282a01e7
Ameongeza kuwa vitabu vikiandikwa na wataalamu wa kada husika vinaweza kuwa na bora zaidi na kwamba serikali inatenga fedha kwa ajili ya kununua vitabu na kuvisambaza katika shule.
0394877c04e1bf29f383399ce2f361a5
Tunahimiza uandishi wa vitabu ili kukuza utamaduni wa kusoma na kuwezesha upatikanaji wa vitabu vya kiada na ziada.
2c16d6a385be694ddbebb4719fcdc340_0
Bado hatujafikia lengo la Serikali la kuhakikisha kitabu kimoja cha kiada kwa mwanafunzi mmoja, serikali inaendelea kuwekeza kuhakikisha shuleni kunakuwa na vitabu vya kutosha vya Kiada na Ziada” amesisitiza Prof. Mkenda.
9fdf34fd17b473e4498ddaddc47786e8

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *