BALOZI NCHIMBI AKUTANA NA MWENYEKITI WA WABUNGE WA CCM - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Saturday, April 12, 2025

demo-image

BALOZI NCHIMBI AKUTANA NA MWENYEKITI WA WABUNGE WA CCM

WhatsApp%20Image%202025-04-11%20at%2006.30.17
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania, na Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (Mb), Spika wa Bunge la Tanzania, pia Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), wakizungumza jambo wakati wakiagana baada ya kikao cha mashauriano kilichofanyika leo Ijumaa, tarehe 11 Aprili 2025, ofisini kwa Balozi Nchimbi, Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma. Pichani kushoto ni Ndugu John Mongella, Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara).
WhatsApp%20Image%202025-04-11%20at%2006.30.16
WhatsApp%20Image%202025-04-11%20at%2006.30.18

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *