Meneja uhusiano na
matukio wa kituo cha redio cha Efm Neema Mukurasi (kulia) akizungumza na
washindi wa pikipiki Rehema Nassoro (katikati) na Alphonse Daudi wakati wa
kampeni ya ‘Shika Ndinga’ inayoendeshwa na kituo hicho na kudhaminiwa na
kampuni ya Zantel iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Mwinjuma,
Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Washindi hao kila mmoja alikabidhiwa
pikipiki yenye thamani ya Sh1.9 milioni. Washiriki watano kwa upande wa
wanawake na watano kwa upande wa wanaume walifuzu hatua ya mchujo.
Rehema Nassoro akisaini
fomu ya baada ya kuibuka mshindi wa pikipiki kwa upande wa wanawake wakati wa
kampeni ya ‘Shika Ndinga’ inayoendeshwa na kituo cha redio cha Efm na
udhaminiwa na kampuni ya Zantel iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja
vya Mwinjuma, Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Katika mwendelezo wa kampeni
hiyo, washiriki wawili kila mmoja alijinyakulia pikipiki yenye thamani ya Sh1.9
milioni. Washiriki watano kwa upande wa wanawake na watano kwa upande wa wanaume
walifuzu hatua ya mchujo.
Mmoja kati ya majaji
katika shindano la Shika Ndinga linaloendeshwa na kituo cha redio cha Efm na
kudhaminiwa na Kampuni ya Zantel Francis Mhando (kulia) akimwonyesha kadi ya
njano mmoja ya washiriki katika mwendelezo wa kampeni ya ‘Shika Ndinga’
iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Mwinjuma Mwananyamala jijini
Dar es Salaam. Washiriki wawili kila mmoja alijinyakulia pikipiki yenye thamani
ya Sh1.9 milioni baada ya kuibuka washindi. Washiriki watano kwa upande wa wanawake
na watano kwa upande wa wanaume walifuzu hatua ya mchujo.
Washiriki wa shindano la
Shika Ndinga linaloendeshwa na kituo cha redio Efm na kudhaminiwa na Kampuni ya
Zantel wakichuana katika mwendelezo wa kampeni ya Shika Ndinga iliyofanyika
mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Mwinjuma Mwananyamala jijini Dar es
Salaam. Washiriki wawili kila mmoja alijinyakulia pikipiki yenye thamani ya
Tsh1.9 milioni baada ya kuibuka na ushindi. Washiriki watano kwa upande wa
wanawake na watano kwa upande wa wanaume walifuzu hatua ya mchujo.
Mmoja kati ya majaji
katika shindano la Shika Ndinga linaloendeshwa na kituo cha redio cha Efm na
kudhaminiwa na Kampuni ya Zantel, Sudi Mkumba (kushoto) akiwakagua washiriki
waliokuwa wakichuana katika mwendelezo wa kampeni ya ‘Shika Ndinga’
iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Mwinjuma Mwananyamala jijini
Dar es Salaam. Washiriki wawili kila mmoja alijinyakulia pikipiki yenye thamani
ya Sh1.9 milioni baada ya kuibuka washindi. Washiriki watano kwa upande wa
wanawake na watano kwa upande wa wanaume walifuzu hatua ya mchujo.
Alphonse Daudi, mkazi wa
Gongo la Mboto akifurahi baada ya kukabidhiwa pikipiki yenye thamani ya Sh1.9
millioni aliyoshindi kwa upande wa wanaume wakati wa kampeni ya ‘Shika Ndinga’
inayoendeshwa na kituo cha redio cha Efm na udhaminiwa na kampuni ya Zantel
iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Mwinjuma, Mwananyamala jijini
Dar es Salaam. Kushoto ni meneja uhusiano na matukio kutoka Efm Neema Mukurasi.
Katika mwendelezo wa kampeni hiyo, washiriki wawili kila mmoja alijinyakulia
pikipiki. Washiriki watano kwa upande wa wanawake na watano kwa upande wa
wanaume walifuzu hatua ya mchujo.
Mmoja kati ya majaji
katika shindano la Shika Ndinga linaloendeshwa na kituo cha redio cha Efm na
kudhaminiwa na Kampuni ya Zantel, Sudi Mkumba (kulia), akimwonyesha kadi ya
nyekundu mmoja ya washiriki katika mwendelezo wa kampeni ya ‘Shika Ndinga’
iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Mwinjuma Mwananyamala jijini
Dar es Salaam. Washiriki wawili kila mmoja alijinyakulia pikipiki yenye thamani
ya Sh1.9 milioni baada ya kuibuka washindi. Washiriki watano kwa upande wa
wanawake na watano kwa upande wa wanaume walifuzu hatua ya mchujo na kuingia
katika hatua ya fainali ambapo watachuana na washiriki wengine kutoka wilaya za
jiji la Dar es Salaam.
Baadhi ya wakazi wa
Mwananyamala wakifuatilia kwa karibu shindano hilo lililofanyika mwishoni mwa
wiki jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment