Afisa wa Uhasibu Mwandamizi wa NSSF Tabora Bw.
Mussa Ndelemiko, akitoa utambulisho na dhumuni la ziara ya viongozi wa NSSF
katika Kata ya Mtendeni Manispaa ya Tabora Mkoani Tabora.
Afisa Mtendaji Kata ya Mtendeni Manispaa ya Tabora
Bi. Rehema Midelo (kulia), akitoa utambulisho wa viongozi wa Kata.
Meneja wa NSSF Mkoa
wa Tabora Bi. Nour Aziz akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi mifuko 50 ya
saruji kwa uongozi wa Kata ya Mtendeni Manispaa ya Tabora, mkoani Tabora.
Diwani ya Kata ya
Mtendeni Mh. Yahya Mhamali akizungumza katika hafla hiyo.
Baadhi ya viongozi wa Kata ya Mtendeni.
Mifuko ya Saruji ikishushwa tayari kwa ajili ya
makabidhiano.
Saruji ikishushwa.
Wananchi wakishuhudia makabidhiano hayo.
Meneja wa NSSF Mkoa
wa Tabora Bi. Nour Aziz (kulia), akikabidhi mifuko 50 ya saruji kwa uongozi wa
Kata ya Mtendeni wakiongozwa na Diwani wa Kata hiyo Mh. Yahaya
Mhamali katika hafla iliyofanyika mkoani Tabaro.
Diwani wa Kata ya Mtendeni Mh. Yahya Mhamali akitoa neno la
shukrani NSSF.
Mkazi wa Mtendeni Bw. Idd Mkwama, akitoa shukrani
kwa msaada uliotolewa na NSSF na kutoa rai kwa taasisi zingine kuiga mfano wa
NSSF katika kuboresha ustawi wa jamii.
Diwani wa Kata ya Mtendeni Mh. Yahya Mhamali akishukuru msaada
uliotolewa na NSSF.
Meneja wa NSSF Mkoa
wa Tabora Bi. Nour Aziz, akizungumza baada ya kukabidhi mifuko 50 ya saruji kwa
uongozi wa Kata ya Mtendeni mkoani Tabora.
Diwani
ya Kata ya Mtendeni Mh. Yahya Mhamali, akitoa shukrani zake kwa uongozi wa NSSF
baada ya kupokea mifuko 50 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati ya
Mtendeni.
Mkazi wa Mtendeni Bw. Idd Mkwama, akitoa shukrani
kwa msaada uliotolewa na NSSF na kutoa rai kwa taasisi zingine kuiga mfano wa
NSSF katika kuboresha ustawi wa jamii.
Mkazi wa Mtendeni Bi. Fatma Said Makalla, akitoa
shukrani kwa msaada uliotolewa na NSSF.
Meneja wa NSSF Mkoa
wa Tabora Bi. Nour Aziz, akifafanua jambo wakati wa hafla ya kukabidhi mifuko
50 ya saruji kwa uongozi wa Kata ya Mtendeni mkoani Tabora.
Diwani wa Kata ya Mtendeni Manispaa ya
Tabora, Mh. Yahya
Mhamali akimuonyesha Meneja wa NSSF Mkoa wa Tabora Bi. Nour Aziz, akiangalia eneo
litakalojengwa Zahanati hiyo.
Kukagua eneo la ujenzi wa Zahanati.
Picha ya pamoja katika eneo la ujenzi wa Zahanati
hiyo.
Meneja wa NSSF Mkoa
wa Tabora Bi. Nour Aziz akiwa kwenye picha ya pamoja na Mh. Diwani wa Kata ya
Mtendeni Manispaa ya Tabora Mh. Yahya Mhamali (mwenye koti), Afisa Mtendaji wa
Kata Bi Rehema Abubakar Midelo pamoja na wafanyazi wa NSSF Tabora.
No comments:
Post a Comment