PROGRAMU YA JIONGEZE KIJANA YAZINDULIWA JIJINI DAR - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Tuesday, April 4, 2017

PROGRAMU YA JIONGEZE KIJANA YAZINDULIWA JIJINI DAR

Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya Savants Initiative Bw. Peter Thadeo (kulia) akifafanua  jambo  kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa programu ya Jiongeze Kijana mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Afisa Mawasiliano toka kituo cha Mawasiliano cha Umoja wa Mataifa Bi. Stella Vuzo na kushoto ni Afisa Habari toka Iadara ya Habari (MAELEZO) Bw. Benjamin Sawe.
Ofisa Mawasiliano toka Kituo cha Mawasiliano cha Umoja wa Mataifa Bi. Stella Vuzo (kushoto) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa programu ya Jiongeze Kijana mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya Savants Initiative Bw. Peter Thadeo na kulia ni Mwanzilishi na afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Inspassion group Bw. Fortunatus Ekklesiah

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages