RAIS DKT. MAGUFULI AONDOKA MKOANI DODOMA NA KUELEKEA MKOANI KILIMANJARO - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Saturday, April 29, 2017

RAIS DKT. MAGUFULI AONDOKA MKOANI DODOMA NA KUELEKEA MKOANI KILIMANJARO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana wakati akielekea kwenye ndege tayari kwa safari yake  ya kuelekea mkoani Kilimanjaro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai wakati wakati akielekea kwenye ndege tayari kwa safari ya kuelekea mkoani Kilimanjaro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai kabla ya kuondoka mkoani Dodoma na kuelekea mkoani Kilimanjaro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kabla ya kuondoka mkoani Dodoma na kuelekea mkoani Kilimanjaro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo nchini (TBA) Elius Mwakalinga kabla ya kuondoka mkoani Dodoma na kuelekea mkoani Kilimanjaro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na watendaji mbalimbali wa Serikali na Chama  kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu mji wa Dodoma. Wakwanza kulia Katibu Mkuu wa Wizara wa Fedha Doto James, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa. Kikao hicho pia kiliwahusisha Viongozi wa CDA, Manispaa ya Dodoma pamoja na Spika wa Bunge Job Ndugai.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na watendaji hao kabla ya kuondoka mjini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na watendaji mbalimbali wa Serikali na Chama cha Mapinduzi (hawapo pichani) kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu mji wa Dodoma kabla ya kuondoka na kuelekea mkoani Kilimanjaro.

Mkuu wa mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana akimshukuru  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kuondoka kuelekea mkoani Kilimanjaro .

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages