RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MAJENGO YA HOSTELI ZA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM LEO - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Saturday, April 15, 2017

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MAJENGO YA HOSTELI ZA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM LEO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda alipowasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam.. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa  alipowasili  kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Kiushoto ni Mama Janeth Magufuli na kulia ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala wakati akiwasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mama Janeth Magufuli na kulia ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga akiwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala wakati akiwasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Nyuma yake ni Mama Janeth Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea salutitoka kwa kamanda wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni SACP Suzana Kaganda wakati akiwasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala wakati akiwasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam.Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala wakati akiwasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Kiushoto ni Mama Janeth Magufuli na kulia ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni10
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi huku Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Eng Stella Manyanya  na  Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Peter Serukamba wakfurahia wakati akiwasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza meza kuu kuimba wimbo wa Taifa 
Wimbo wa Taifa

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali  Michael Wambura Isamuhyo akipiga saluti wakati wa wimbo wa Taifa.
Kwaya ya Chuo Kikuu ikitoa burudani

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi, Teknolojia na Ufundi Dkt. Leornad Akwilapo akitoa muhtasari wa shughuli.
 Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
  Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
  Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
 Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
 Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
 Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
 Sehemu ya viongozi na wageni mbalimbali
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam 
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam 
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam 
 Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam 
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam 
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam 
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam 
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam 
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam 
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam 
 Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam 
 Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam 
 Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam 
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam 
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam 
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam 
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam 
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam 
Wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam 

Wasanii nyota wa Bongo Movie na wageni mbalimbali na wadau chuo kikuu cha Dar es salaam

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akiongea machache

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala akisoma muhtasali wa mradi huo
Rais wa wanafunzi wa UDSM akisema machache kabla ya kukabidhi zawadi kwa Rais
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya mchoro toka kwa Rais wa Wanafunzi wakati wa sherehe za kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. . Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10.
Kwaya ya UDSM ikitumbuiza
Mkuu wa Idara ya Sanaa za Ubunifu Dkt. Kedmon Mapana akiongoza kwaya kwa ustadi mkubwa
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Husseij Mwinyi akiongea machache 
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa akiongea machache
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Prof. Joyce Ndalichako akiongea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakisimama kwa muda kuomboleza vifo vya askari polisi nane waliouwawa Kibiti.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi
Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala  Mhe Mussa Hassan Zungu akiongea machache
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa sherehe za kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10. 
Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Profesa Kitila Mkumbo akiitikia jambo  
Wahadhiri na wageni waalikwa wakifuatilia hotuba ya  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Profesa Kitila Mkumbo akiitikia jambo  

Wahadhiri wakifurahia hotuba ya Rais

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsifia Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga kwa kufanikisha mradi huo kwa muda wa chini ya mwaka mmoja na kwa gharama nafuu kabisa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Tawala wa wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Profesa Kitila Mkumbo.
Mama Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wahadhiri waandamizi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala wakati akielekea kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakielekea eneo la uzinduzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua rasmi majengo hayo
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaidiana na viongozi wengine akizindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Profesa Mukandala baada ya kuzindua rasmi majengo hayo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo baada ya kuzindua rasmi majengo hayo. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo baada ya kuzindua rasmi majengo hayo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga wakati akizindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba baada ya kuzindua rasmi majengo hayo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba baada ya kuzindua rasmi majengo hayo
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuzindua rasmi majengo hayo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua baadhi ya mabweni baada ya kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua baadhi ya mabweni baada ya kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua mabweni baada ya kuzindua rasmi majengo hayo 

Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Peter Serukamba wakiangalia mabweni baada ya kuzindua rasmi majengo hayo
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na maprofesa  mbalimbali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi wa majeshi na chuo 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa wanafunzi na chuo 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wadau wa chuo na viongozi mbalimbali 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wadau wa chuo na viongozi mbalimbali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala baada ya kuhitimishwa kwa hafla hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala (kushoto) na Mkuu wa Idara ya Sanaa za Ubunifu wa Chuo hicho Dkt. Kedmon Mapana baada ya kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages