Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau
akizungumza na wanufaika wa maradi wa kuandika mawazo ya biashara ambao wapo
hapa nchini juu ya namna watakvyoweza kushirikiana na Benki ya UBA katika
kukuza biashra zao mpaka nje ya mipaka ya Tanzania.
Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau
akikabidhi cheti kwa Hurbert Mwashiuya juu kama mnufaika wa mradi mara
baada ya kupata ruzuku.
Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau
akikabidhi cheti kwa Bi , Aika Mtei kma mmoja wa wanufaika wa ruzuku mara
baada ya kuandika mradi juu ya biashara katika mtandao.
Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau
akiwaeleza watendaji wa Benki ya UBA juu ya umuhimu wa kuwasaidia wanufaika hao
hili waweze kuwa mfano kwa wengine.
Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau
akiwa katika picha ya pamoja na wanufaika na baadhi ya watendaji wa beki hiyo.
No comments:
Post a Comment