UNAMFAHAMU DJIMON HOUNSOU? - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Monday, April 24, 2017

UNAMFAHAMU DJIMON HOUNSOU?


Huyu ni Mchezaji Filamu maarufu kutoka Marekani, mwenye asili ya Benin.

Leo anakumbuka siku yake ya Kuzaliwa! Djimon Gaston Hounson amezaliwa tarehe 24 April, 1964 katika mji wa Cotonou Benin, Wazazi wake wakiwa ni Albertine na Pierre Hounsou.

Wazazi wake walikuwa ni wapishi wa banda moja la chakula katika kijiji chao.

Akiwa na miaka 13 aliachana na elimu na kuhamia Ufaransa akiwa na kaka yake aliyeitwa Edmond na kuwa watoto wa mtaani.

Mwaka 1987, Hounsou alikutana na rafiki yake ambaye ni Mpiga Picha alimkutanisha na mtaalamu wa mitindo Thierry Mugler ambaye alimshauri Hounsou kushiriki katika kazi za modeling, nae alikubali na kuianza kazi hiyo rasmi katika jiji la Paris.

Mwaka 1990, Hounsou alihamia rasmi Marekani.



Kati ya mwaka 1989 na 1991, Hounsou alishiriki katika video za nyimbo kadhaa, ambazo ni; Straight Up by Paula Abdul; “Love Will Never Do (Without You)” by Janet Jackson na Madonna’s “Express Yourself”

Hizi ni baadhi ya Filamu alizocheza

Year
Title
Role
Notes
1990
Ex-boyfriend
1992
Prisoner on bench
1993
Moïse (voice)
1994
Horus (the guard)
1997
Ill Gotten Gains
Fyah
1997
1998
Vivo
2000
Juba
2000
The Middle Passage
Narrator
Documentary; US version
2001
The Tag
Marshall
Short film
2002
Detective Youssouf
2002
Abou Fatma
2002
Heroes
Mystery Man
Short film
2003
Mateo
2003
Motherland
2003
Kosa
2004
Woodhead
2005
2005
Joe
2005
Albert Laurent
2006
Solomon Vandy
2006
2008
Jean Roqua
2009
Henry Carver
2010
Caliban
2011
Curtie Church
2011
Kovax
2013
Quinton Jamison
2014
Drago Bludvist (voice)
2014
2014
Radu
2015
Mose Jakande
2015
Vicar Imani
2015
Cartwright
2016
Chief Mbonga
2017
Post-production
2017
Denver
Post-production
2017
Sumo
Filming

 


Hivi ni baadhi ya vipindi alivyowahi kushiriki

Year
Title
Role
Notes
1990
Doorman
Episode: "Class of Beverly Hills"
1999
Mobalage Ikabo
6 episodes
2000
Villager (voice)
Episode: "Luck Be an Aye-Aye"
2001
Victor Onuka
Episode: "Games People Play"
2003–04
Kazari Bomani
3 episodes
2010
Black Panther (voice)
6 episodes
2016
CJ Mitchum
8 episodes

 

Hizi ni baadhi ya Tuzo alizowahi kushiriki kugombania

Year
Award
Category
Work
Result
2004
Best Supporting Actor
Nominated
2007
Best Supporting Actor
Nominated
2004
Best Supporting Actor
Won
2007
Best Supporting Actor
Won
2007
Best Supporting Actor
Nominated
1998
Best Actor-Drama
Nominated
2004
Best Supporting Male
Won
1998
Outstanding Actor in a Motion Picture
Won
2004
Outstanding Supporting Actor
Nominated
2007
Outstanding Supporting Actor
Won
2006
Best Supporting Actor
Won[28]
2001
Outstanding Cast in a Motion Picture
Nominated
2004
Outstanding Cast in a Motion Picture
Nominated
2007
Outstanding Performance by an Actor in a Supporting Role
Nominated[29]


Kama umezaliwa leo, basi umezaliwa pamoja na gwili hili la filamu


Happy Birthday Djimon Gaston Hounson!!!

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages