Tuesday, April 25, 2017

Home
KIMATAIFA
WABUNGE WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WATINGA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON, DC
WABUNGE WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WATINGA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON, DC
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
leo siku ya Jumatatu April 24, 2017 wametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini
Marekani na kukutana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe.
Wilson Masilingi. Katika picha toka kushoto ni Mkuu wa Utawala na Fedha Ubalozi
wa Tanzania nchini Marekani Bi. Swahiba Mdeme,Mwambata wa Jeshi Ubalozi wa
Tanzania na Canada Col. Adolph Mutta, Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Bajeti
Mhe. Hawa A. Ghasia, Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Wilson
Masilingi, Mbunge Mhe. Janeth Z. Mbene, Mhe. Josephat S. Kandege, Afisa wa
Ubalozi Bwn. Dismas Assenga na Afisa wa Bunge Bwn. Godfrey Godwin. Wabunge hao
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano waTanzania walikuja Washington, DC kuhudhuria
mikutano ya kipupwe ya Benki ya Dunia na IMF.
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico
Mhe. Wilson Masilingi. Katika picha toka kushoto ni Afisa wa Bunge Bwn. Godfrey
Godwin, Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Bajeti Mhe. Hawa A. Ghasia, Balozi wa
Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Wilson Masilingi, Mbunge Mhe. Janeth Z.
Mbene, na Mhe. Josephat S. Kandege
Tags
# KIMATAIFA
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
RAIS DKT. MAGUFULI TAYARI AMEWASILI MKOANI DODOMA
Older Article
MAGAZETI YA LEO JUMANNE APRIL 25, 2016
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi
Hassani MakeroFeb 16, 2025RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA MSUMBIJI
Hassani MakeroFeb 15, 2025A Tanzania doctor receives International Award
kilole mzeeJan 15, 2025
Labels:
KIMATAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment