Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt.
Harrison Mwakyembe akisalimiana na Kiungo Mshambuliaji wa timu ya Everton
ya nchini Uingereza, Wayne Rooney muda mfupi baada ya kuwasili katika
Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam asubuhi ya
jana.
Timu ya Everton ikiwa na kikosi kamili cha
wachezaji pamoja na viongozi na kocha mkuu wa timu hiyo Ronald Koeman,
Kimewasili mapema jana tayari kwa Mchezo wao na Mabingwa wa SpotiPesa Gor Mahia
ya nchini Kenya, unaotarajiwa kuchezwa leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es
salaam.
Ifuatayo
ni orodha ya Wachezaji waliokuja:
1 – Jordan Pickford
2 – Morgan Schneiderlin
3 – Leighton Baines
4 – Michael Keane
5 – Ashley Williams
6 – Phil Jagielka
7 – Yannick Bolasie
8 – Ross Barkley
9 – Sandro Ramirez
10 – Wayne Rooney
11 – Kevin Mirallas
12 - Aaron Lennon
16 – James McCarthy
17 – Idrissa Gana Gueye
18 – Gareth Barry
20 – Davy Klaassen
21 – Muhamed Besic
22 – Maarten Stekelenburg
23 – Seamus Coleman
25 – Ramiro Funes Mori
26 – Tom Davies
29 – Dominic Calvert-Lewin
30 – Mason Holgate
31 – Ademola Lookman
33 – Joel Robles
34 – Oumar Niasse
38 - Matthew Pennington
43 - Jonjoe Kenny
46 - Joe Williams
Mshambuliaji wa timu ya Everton Wayne Rooney
pamoja na wachezaji wenzake wa wakielekea kwenye basi tayari kwa safari ya
kuelekea hotelini kwa mapumziko mafupi.
Basi lenye wachezaji wa Everton likiwasili Uwanja wa Taifa kwaajili ya mazoezi
Basi la wachezaji wa Everton likiwa katika maegesho ya Uwanja wa Taifa kwaajili ya kuwasubiria wachezaji wali kwenye mazoezi katika uwanja huo.
Wachezaji wa Everton wakiingia uwanjani kwaajili ya mazoezi.
Wachezaji wa Everton wakiingia uwanjani kwaajili ya mazoezi.
Wachezaji wa Everton wakiwa katika mazoezi ya pamoja uwanjani hapo.
No comments:
Post a Comment