DTB YAZINDUA TAWI JIPYA LA 13 JIJINI DAR ES SALAAM - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Wednesday, August 2, 2017

demo-image

DTB YAZINDUA TAWI JIPYA LA 13 JIJINI DAR ES SALAAM

1
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba (watatu kushoto), akikata utepe kuzindua t​awi jipya la Benki ya Diamond Trust (DTB), â€‹jijini Dar es Salaam jana.wa​pili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Viju Cherian na wengine ni maofisa wa DTB.
2
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana katika uzinduzi wat​awi jipya la Benki ya Diamond Trust (DTB) mtaa wa Uhuru, Kariakoo.
3
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba (kushoto), akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Diamond Trust (DTB),Viju Cherian katika uzinduzi ​wa tawijipya la b​enki hiyo mtaa wa Uhuru jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *