Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Mabenki Tanzania (TIOB), Patrick Mususa (kushoto),
akizungumza wakati wa sherehe ya mahafali ya 17 ya Taasisi hiyo
yaliyofanyika katika ukumbi wa Hyatt Regency jijini Dar es Salaam
katikati ni Gavana wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) Prof Benno Ndulu ambae
alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo na (kulia) ni Msajili wa TIOB, Saad
Banzi.
Gavana
wa benki kuu ya Tanzania (BOT) Prof Benno Ndulu akizungumza katika mahafali ya
17 ya chuo cha The Tanzania Institute of bankers (TIOB) yaliyofanyika katika
ukumbi wa Hyatt Regency jijini Dar.
Mkurugenzi
mtendaji wa chuo cha The Tanzania Institute of bankers (TIOB) Bw. Patrck Mususa
akifafanua jambo katika mahafali ya 17 ya chuo cha The Tanzania Institute of bankers
(TIOB) yaliyofanyika katika ukumbi wa Hyatt Regency jijini Dar.
Wahitimu
wa ngazi mbali mbali wakimsikiliza Gavana wa benki Kuu ya Tanzania (BOT)
Profesa Benno Ndulu (hayupo pichani) katika mahafali ya 17 ya chuo cha The
Tanzania Institute of bankers (TIOB) yaliyofanyika katika ukumbi wa Hyatt
Regency jijini Dar.
Mshindi
wa pili wa Banking Certificate Programme Bi Mariam H Mahige akipokea zawadi
kutoka kwa Gavana wa BOT Profesa Benno Ndulu fedha taslimu Tsh Laki 4 katika
mahafali ya 17 ya chuo cha The Tanzania Institute of bankers (TIOB)
yaliyofanyika katika ukumbi wa Hyatt Regency jijini Dar.
Mshindi
wa wa Banking Certificate Programme Erick akipokea cheti
katika

THE TANZANIA INSTITUTE OF BANKERS (TIOB)
MAHAFALI YA 17 YA TAASISI
YA MABENKI (THE TANZANIA INSTITUTE OF BANKERS -TIOB)
Taasisi ya Mabenki Tanzania - The Tanzania Institute of Bankers (TIOB) Inayofuraha
kuwapa taarifa wanachama wote waTaasisi, wahitimu, na umma kwaujumla kwamba Shereheya Mahafaliya 17 ya Taasisi hiyo itafanyika Jumatano ya tarehe 27 Septemba, 2017 katika Hoteliya
Hyatt Regency Dar es Salaam – The Kilimanjaro, kuanzia saa 9:30 alasiri.
Katika
mahafali haya, wahitimu 177 watatunukiwa vyeti vya uhitimu - 17 katika ngazi ya cheti
(Banking Certificate), 141 katika ngazi ya juu ya taaluma hii (Certified Professional
Bankers) na 19 watakaopewa vyeti vya kubobea katika masomo maalum (Specialists).
Pia litakuwepo zoezi la utoaji zawadi kwa wahitimu waliofanya vizuri zaidi katika
masomo yao (Prize awards).
Wahitimu hawo, wengi wao ni wafanyakazi katika taasisi za fedha nchini na wengineni
wale wanaojiandaa kuingia katika soko la ajira katika sekta hiyo.
Sherehe ya Mahafali itatanguliwa na Mkutano Mkuu wa Mwaka (Annual General Meeting)
wa Taasisi hii (TIOB) utakaoanza saa 9.00 kamili alasiri hotelini hapo kabla ya Mahafali.
Huu
ni Mkutano wa 19 na unawahusu wanachama tu wataasisi ambao ni wanachama binafsi (Individual
members) pamoja na Mabenki yote naTaasisi za Fedha zilizosajiliwa.
Agenda zitakazo wasilishwa katika Mkutano
Mkuu ni pamoja na Ripoti ya Mwaka ya Ukaguzi kwa mwaka uliopita tarehe 31
Decemba, 2016; Mpango wa Mwaka 2017 wa TIOB; Uteuzi wa mkaguzi wa Hesabu kwa mwaka
2017 na Uteuzi wa Baraza la usimamizi wa Taasisi kwa miaka mitatu ijayo. Baraza lililopo
linamaliza muda wake wakatiwa Mkutano huu.
TIOB ilianzishwa mwaka
1993 kwa sheria ya makampuni (Companies Ordinance- Cap 212) baada ya kuonekana umuhimu
wa kuwa na chombo cha Kitaifa cha kusimamia taaluma ya kibenki hasa baada ya kufungua
milango kwa taasisi za fedha za kimataifa kuwekeza Tanzania Hivyo basi, lengo kuu
la Taasisi hii ni kusimamia na kuendeleza taaluma ya kibenki ili taasisi za fedha
nchini ziweze kupata wataalam wenye elimu na ujuzi wa kuwawezesha kutoa huduma bora
za kifedha kwa serikali, makampuni na jamii kwa ujumla katika kukuza uchumi wa nchi yetu.
Katika kusimamia na kuendeleza
taaluma ya kibenki, Taasisi hii (TIOB) inatoa mitihani ya taaluma ambayo hufanyika mwezi
Mei na Novemba kila mwaka katika vituo vya mafunzo na mitihani ambavyo kwasasa viko nane
yaani Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Moshi, Mbeya, Dodoma, Morogoro na Zanzibar.
Pamoja na mitihani hiyo,
TIOB pia inatoa mafunzo endelevu kwa wafanyakazi wataasisi za fedha kwanjia ya kozi
fupi, semina na makongamano ili kuhuisha na kukuza ujuzi wao.
Wakati TIOB inaanzishwa
ili kuwa na wanachama waanzilishi 11 tu ambao ni taasisi za fedha zilizokuwepo nchini
mwaka 1993. Leo hii kuna jumla ya taasisi wanachama (Taasisi za fedha) takribani hamsini
na saba (57) na wanachama binafsi (Individual members) zaidi ya elfu saba (7,000).
TIOB inaushirikiano na taasisi mbalimbali ndani na nje ya nchi
kwaajili ya kuendeleza taaluma ya kibenki ikiwa ni pamoja na kuwa miongoni mwa wanachama
waanzilishi waushirika wataasisi za Mabenki katika Afrika(Alliance of African
Institutes of bankers - AAIOB) ulioanzishwa mwaka 1997. AAIOB hadi sasa inawanachama kumi na tatu (13) ikiwa ni pamoja na South
Africa, Namibia, Botswana, Zimbabwe, Zambia, Msumbiji, Malawi, Tanzania, Kenya,
Uganda, Nigeria, Ghana na Misri.
Katika ushirika huu mtaala unaotumika katika mafunzo
ni mmoja na hivyo cheti kinachotolewa katika ngazi ya juu ya utawala wa kibenki (Certified
Proffessional Banker) kutokaTaasisi yoyote mwanachama kinatambuliwa
na nchi zote wanachama wa AAIOB.
MAHAFALI YA 17 YA TAASISI
YA MABENKI (THE TANZANIA INSTITUTE OF BANKERS -TIOB)
Taasisi ya Mabenki Tanzania - The Tanzania Institute of Bankers (TIOB) Inayofuraha
kuwapa taarifa wanachama wote waTaasisi, wahitimu, na umma kwaujumla kwamba Shereheya Mahafaliya 17 ya Taasisi hiyo itafanyika Jumatano ya tarehe 27 Septemba, 2017 katika Hoteliya
Hyatt Regency Dar es Salaam – The Kilimanjaro, kuanzia saa 9:30 alasiri.
Katika mahafali haya, wahitimu 177 watatunukiwa vyeti vya uhitimu - 17 katika ngazi ya cheti (Banking Certificate), 141 katika ngazi ya juu ya taaluma hii (Certified Professional Bankers) na 19 watakaopewa vyeti vya kubobea katika masomo maalum (Specialists).
Pia litakuwepo zoezi la utoaji zawadi kwa wahitimu waliofanya vizuri zaidi katika masomo yao (Prize awards).
Wahitimu hawo, wengi wao ni wafanyakazi katika taasisi za fedha nchini na wengineni wale wanaojiandaa kuingia katika soko la ajira katika sekta hiyo.
Huu ni Mkutano wa 19 na unawahusu wanachama tu wataasisi ambao ni wanachama binafsi (Individual members) pamoja na Mabenki yote naTaasisi za Fedha zilizosajiliwa.
Agenda zitakazo wasilishwa katika Mkutano Mkuu ni pamoja na Ripoti ya Mwaka ya Ukaguzi kwa mwaka uliopita tarehe 31 Decemba, 2016; Mpango wa Mwaka 2017 wa TIOB; Uteuzi wa mkaguzi wa Hesabu kwa mwaka 2017 na Uteuzi wa Baraza la usimamizi wa Taasisi kwa miaka mitatu ijayo. Baraza lililopo linamaliza muda wake wakatiwa Mkutano huu.
Katika ushirika huu mtaala unaotumika katika mafunzo ni mmoja na hivyo cheti kinachotolewa katika ngazi ya juu ya utawala wa kibenki (Certified Proffessional Banker) kutokaTaasisi yoyote mwanachama kinatambuliwa na nchi zote wanachama wa AAIOB.
No comments:
Post a Comment