Baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba Littlewood wakiwa katika pozi
Mgeni rasmi akipeana mkono wa pongezi na mmoja wa walimu wakuu waliowahi kufundisha shule.
Mgeni rasmi akipeana mkono wa pongezi na mmoja wa walimu wakuu waliowahi kufundisha shule.
Mgeni rasmi akipeana mkono wa pongezi na mwalimu mkuu msaidizi wa shule hiyo Ndugu Egdus Kamuntu.
Mgeni rasmi akipeana mkono wa pongezi na meneja wa shule hiyo Bi Anna Nyangi
Mgeni rasmi akipeana mkono wa pongezi na mkurugenzi wa shule hiyo Ndugu Marwa Ntangira
Mgeni rasmi akiingia katika viwanja yalipofanyika mahafali hayo
Mkuu wa shule hiyo, Mr Kennedy Mwita akiongea jambo
Baadhi ya walimu wa shule hiyo katika picha ya pamoja katika utambulisho
MC na mwalimu msaidizi taaluma Mr Timothy Joshua akitambulishwa kwa wageni waalikwa.
Mwalimu wa Michezo Mr Alphonce Peter akitambulishwa kwa wageni waalikwa na wazazi waliohudhuria sherehe hizo.
Mwalimu wa Taaluma Mr James akitambulishwa kwa wageni waalikwa na wazazi waliohudhuria sherehe hizo.
Wanafunzi waliowahi kusoma shuleni hapo walipata nafasi ya kusema neno na kujitambulisha.
Mmoja wa wanafunzi waliowahi kusoma shule hiyo Abdul Shabani Ngoma
Mmoja wa wanafunzi waliowahi kusoma shule hiyo Mercy Derrick
Mmoja wa wanafunzi waliowahi kusoma shule hiyo Bhoke Marwa
Mgeni rasmi akifurahia jambo
Meza kuu wakifuatilia kwa umakini michezo mbalimbali na burudani zitolewazo
Wanafunzi wa madarasa ya chini wakitoa burudani
Wazazi na wageni waalikwa wakifuatilia matukio mbalimbali
Baadhi ya walimu wa shule hiyo wakifuatilia matukio mbalimbali
Wanafunzi wa madarasa ya chini wakitoa burudani
Wanamitindo nao hawakubaki nyuma
Dada Mkuu aliyemaliza muda wake wa uongozi, Jackline Sabibi ambaye pia ni mhitimu akimlisha keki mkurugenzi wa shule hiyo ndugu Marwa Ntangira.
Mkurugenzi wa Shule ya Msingi na awali, Marwa Ntangira mwenye Suti ya Kijivu akiwa katika picha ya pamoja na Madereva wa gari za shule hiyo.
Wahitimu wa darasa la saba wakiwa na furaha wakionyesha uwezo wao katika uimbaji.
Mambo ya msosi hayakuwa nyuma chini ya mkuu wa idara hiyo Bi Getrude Kimario
No comments:
Post a Comment