Friday, October 13, 2017

Home
BIASHARA
NBC yazindua Mwezi wa Huduma kwa Wateja kwa kuboresha huduma za bidhaa zao kukidhi mahitaji ya wateja.
NBC yazindua Mwezi wa Huduma kwa Wateja kwa kuboresha huduma za bidhaa zao kukidhi mahitaji ya wateja.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kushoto),
akizungumza na wafanyakazi wa benki hiyo katika hafla ya uzinduzi rasmi wa
Mwezi wa Huduma kwa Wateja wa benko hiyo katika Tawi la Corporate jijini Dar es
Salaam jana. Mkurugenzi huyo alisema katika maadhimisho hayo NBC imezidi
kuboresha ubora wa huduma na bidhaa mbalimbali ili kukidhi mahitaji ya wateja
wao wa kada zote. Kulia ni Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa NBC, James Kinyanyi.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kulia) na
Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa NBC, James Kinyanyi wakikata utepe ili kurusha ‘puto’
kuashiria uzinduzi rasmi wa Mwezi wa Huduma kwa Wateja wa benko hiyo katika
Tawi la Corporate jijini Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja cha NBC, Ngwitika Mwakahesya
akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Mwezi wa Huduma kwa Wateja wa NBC
jijini Dar es Salaam jana.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kulia),
akizungumza waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari pamoja na wafanyakazi wa
benki hiyo katika hafla ya uzinduzi
rasmi wa Mwezi wa Huduma kwa Wateja wa benko hiyo katika Tawi la Corporate
jijini Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NBC, Neema Rose Singo (kushoto),
akibadilishana mawazo na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa NBC, James Kinyanyi huku baadhi
ya maofisa wengine wa NBC wakiangalia
katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Mwezi wa Huduma kwa Wateja wa benki hiyo
katika Tawi la Corporate jijini Dar es Salaam jana. Wengine kutoka kulia ni , Alina
Maria Kimaryo, Jane Mbago, Ngwitika Mwakahesya na Irene Peter.
Kaimu MKurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kulia) akmsikiliza
kwa makini Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa benki hiyo, James Kinyanyi wakati wa hafla
ya uzinduzi rasmi wa Mwezi wa Huduma kwa Wateja wa benko hiyo katika Tawi la
Corporate jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wafanyakazi wa NBC wakiwa na nyuso za furaha wakati
kaimu mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo akizungumza nao.
Baadhi ya wafanyakazi wa NBC wakipozi kwa picha wakati wa sherehe
za uzinduzi rasmi wa Mwezi wa Huduma kwa Wateja wa benki hiyo jijini Dar es
Salaam jana.
Tags
# BIASHARA
Share This
About kilole mzee
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
KUTOKA MAGAZETINI JUMAMOSI YA LEO OCTOBER 14, 2017
Older Article
KAMPUNI YA UBER YATOA OFA YA AISKRIMU KWA WASAFIRI WAKE JIJINI DAR ES SALAAM
Absa Group Reports 10% Increase in 2024 Earnings after Material Second-Half Recovery
Hassani MakeroMar 11, 2025Benki ya NBC Yaandaa Hafla ya Futari Zanzibar, Yajivunia Ongezeko la Wateja
Hassani MakeroMar 07, 2025BITEKO AKUTANA NA MTENDAJI MKUU WA RASHAL ENERGIES, INAYOJENGA BOMBA LA GESI KISEMVULE-MBAGALA
Hassani MakeroMar 07, 2025
Labels:
BIASHARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment