SIKU YA MKE MWEMA YAFANA JIJINI DAR - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Sunday, October 15, 2017

SIKU YA MKE MWEMA YAFANA JIJINI DAR

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya siku ya Mke Mwema, Beatrice Geblon Ollotu (kulia), akizungumza na baadhi ya wanawake wema walio jitokeza kuhudhuria katika maadhimisho hayo yaliyofanyika katika ukumbe wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam leo Wengine ni baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Acclavian Furniture na Acclavian Insurance Nindiu Mpangile, (kulia) akizungumza na baadhi ya wanawake walio jitokeza kuhudhuria maadhimisho wa siku ya Mke Mwema yaliyofanyika katika ukumbe wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam leo Wengine ni baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo.

Mkurugenzi  Mtendaji wa kampuni ya utengenezaji wa keki  (EBEN CAKES) Irene Ogy, akizungumza katika hafla hiyo.
Mweka hazina wa kamati Sarah
Mjumbe wa kamati ya maandalizi Winnie Minde.
Picha ya pamoja

Mkurugenzi  Mtendaji  wa kampuni ya uuzaji wa maua (UPENDO FLORIST) Upendo Mmari akitoa neon la shukrani kwa waandaaji wa hafla hiyo.






 Viongozi wakikata keki

Burudani zikiendelea wanawake wema wakiserebuka katika hafla hiyo




Picha zote na Brian Peter

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages