RAIS DKT MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA MADARAJA YA JUU YA BARABARA YA TAZARA NA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Wednesday, November 15, 2017

demo-image

RAIS DKT MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA MADARAJA YA JUU YA BARABARA YA TAZARA NA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

t+%252801%2529

t+%25282%2529
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la juu (Fly Over) eneo la TAZARA jijini Dar es salaam akiwa ameongozana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mara tu baada ya kuwasili kutokea kijijini kwake Chato mkoani Geita leo Jumatano Novemba 15, 2017.
t+%25283%2529
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maagizo ya kuvunjwa kwa sehemu ya majengo ya TANESCO (pichani nyuma) na la Wizara ya Maji ili kupisha ujenzi wa miundombinu baada ya kukagua maandalizi  ya ujenzi wa daraja la ghorofa tatu la Ubungo (Ubungo Interchange) jijini Dar es salaam akiwa ameongozana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mara tu baada ya kuwasili kutokea kijijini kwake Chato mkoani Geita leo Jumatano Novemba 15, 2017.
t+%25284%2529

t+%25285%2529
Wananchi wakimshangilia  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akitoa maagizo baada ya kukagua maandalizi  ya ujenzi wa daraja la ghorofa tatu la Ubungo (Ubungo Interchange) jijini Dar es salaam akiwa ameongozana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mara tu baada ya kuwasili kutokea kijijini kwake Chato mkoani Geita leo Jumatano Novemba 15, 2017.
t+%252806%2529
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimsikiliza mwananchi Bi. Nyangoma James akieleza matatizo yake  baada ya kukagua maandalizi  ya ujenzi wa daraja la ghorofa tatu la Ubungo (Ubungo Interchange) jijini Dar es salaam akiwa ameongozana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mara tu baada ya kuwasili kutokea kijijini kwake Chato mkoani Geita leo Jumatano Novemba 15, 2017
t+%25287%2529
t+%25288%2529
t+%25289%2529
t+%252810%2529
Taswira za maendeleo ya ujenzi wa daraja la juu (Fly Over) eneo la TAZARA jijini Dar es salaam kama lilivyo leo Jumatano Novemba 15, 2017. Picha na IKULU.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *