Mume wa zamani wa Muigizaji Irene Uwoya, Hamadi Ndikumana Katauti amefariki dunia. - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Wednesday, November 15, 2017

demo-image

Mume wa zamani wa Muigizaji Irene Uwoya, Hamadi Ndikumana Katauti amefariki dunia.

arton78094

Aliyekuwa Mume wa zamani wa Muigizaji Irene Uwoya na Mchezaji wa Burundi, Hamadi Ndikumana Katauti (39) amefariki dunia.

Taarifa za kifo cha Ndikumana zimethibitishwa na Muigizaji Irene Uwoya.

Ndikumana na Uwoya walifunga ndoa Julai 2009 na walifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume ‘Krish’ na kisha baadae kutengana.

Mpaka anakutwa na mauti alikuwa akicheza katika timu ya APOP Kinyras Peyias FC ya Cyprus.

Hivi karibuni Irene Uwoya aliolewa na msanii wa Rap Tanzania Dogo Janja.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *