Katika ukurasa wake wa Instagram staa huyo wa Bongo fleva na CEO wa lebo ya Konde Gang Harmonize ameeleza kuwa bango alke na Kajala amelipia likae miezi 6 bila kushuka.

Ameongeza kuwa yote hayo anafanya kwa sababu anampenda sana Kajala na hakuna sababu nyingine zaidi ya upendo kwake.

No comments:
Post a Comment