BASATA YAMPIGA STOP STEVE NYERERE - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Wednesday, March 23, 2022

demo-image

BASATA YAMPIGA STOP STEVE NYERERE

nyerere%20steve
BARAZA la Sanaa Taifa (BASATA) limeingilia kati Mgogoro wa ndani la Shirikisho la Muziki na kusimamisha uteuzi wa awali wa Msemaji wa Shirikisho hilo Steven Mengere .

Aidha Baraza limetoa uamuzi huo mara baada ya kufanya kikao Machi 23 na kuridhia kuwa Msemaji huyo kutoanza Majukumu yake Hadi pale sakata hilo litakapotatuliwa.

Pia Baraza limejiridhisha kuwa Bodi ya utendaji ya Shirikisho lilifanya kikao chake mapema Machi 1 katika ukumbi wa Bodi ya Filamu na kufanya uteuzi huo.

Baraza limetoa taarifa ya kushughulikia Mgogoro huo na kupokea hoja za wajumbe pamoja na viongozi wa Shirikisho hilo na na kuahidi kutoa uamuzi mapema iwezekanavyo.
WhatsApp%20Image%202022-03-23%20at%208.08.14%20PM
WhatsApp%20Image%202022-03-23%20at%208.08.15%20PM

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *