Benki Ya CRDB Ilivyoshiriki Hafla Ya Kuukaribisha Mwezi Mtukufu Wa Ramadhan - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Sunday, April 3, 2022

demo-image

Benki Ya CRDB Ilivyoshiriki Hafla Ya Kuukaribisha Mwezi Mtukufu Wa Ramadhan

JP5A9701-2
Mufti wa Tanzania Dk. Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ali (kushoto), akipongezwa na Mkuu wa Kitengo cha CRDB Al-Barakah Banking, Rashid Rashid, wakati wa hafla fupi ya kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhan pamoja na kumpongeza kwa kutunukiwa Shahada ya udaktari wa heshima (PHD) na Chuo Kikuu cha nchini Gambia. (Na Mpigapicha Wetu).
JP5A9658
JP5A9618
Mufti wa Tanzania Dk. Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ali (kushoto), akizungumza katika hafla fupi ya kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhan pamoja na pongezi kwa kutunukiwa Shahada ya udaktari wa heshima (PHD) kutoka Chuo Kikuu cha nchini Gambia.
JP5A9508
JP5A9491
Mkuu wa Kitengo cha CRDB Al-Barakah Banking, Rashid Rashid, akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhan pamoja na kumpongeza Mufti wa Tanzania Dk. Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ali kwa kutunukiwa Shahada ya udaktari wa heshima (PHD) na Chuo Kikuu cha nchini Gambia.
JP5A9696
Mkuu wa Kitengo cha CRDB Al-Barakah Banking, Rashid Rashid, akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake BAKWATA, Shamim Khan.
DSC_2642
Mkuu wa Kitengo cha CRDB Al-Barakah Banking, Rashid Rashid (wa pili kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk. Alhad Mussa Salum (kushoto kwake) wakati wa hafla ya kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhan pamoja na kumpongeza Mufti wa Tanzania Dk. Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ali kwa kutunukiwa Shahada ya udaktari wa heshima (PHD) na Chuo Kikuu cha nchini Gambia.
Background
JP5A9761
Layer%200
JP5A9750
Wateja wa Benki ya CRDB wakifungua akaunti ya CRDB Al-Barakah Banking.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *